Msanii wa nyimbo za asili Ntemi Omabala Ameachia video yake mpya iendayo kwa Jina "Zunyaga" Likiwa ni neno la Kisukuma Lenye maana ya Kubali.
Video Hii imeongozwa na Director Gooder Karibu kuitizama.
Kingine Nakuongezea Video hii imefanikiwa kutazamwa na watu zaidi ya 4,000 Ndani ya siku mbili Tu.
1 Comments
Video ya "Zunyaga" ni ya kuvutia sana—mchanganyiko wa utamaduni wa Kisukuma na ubunifu wa Director Gooder umeleta ladha ya kipekee. Nimefurahia sana kuona jinsi muziki wa asili unavyoendelea kung'aa. Endeleeni kutupatia kazi nzuri kama hii!
ReplyDeleteToa maoni yako kuhusu wimbo wowote au msanii yoyote. Pia unaweza kusema hapa tukuletee wimbo gani