VIDEO | ROYAL DANCERS - NEVER | DOWNLOAD

Karibu kutizama Video ya Wimbo utambulikanao kwa jina "NEVER" 





 "NEVER" Ni Video Kutoka kwa vijana Wanaofanya vizuri upande wa Dance Kanda ya ziwa "Royal Dancers Tz" 

Ambayo Imefanywa na Upcoming Directors @directorfanny na @directormg

Vijana hawa wamewahi fanya dance videos kadhaa ambazo zilipata zaidi ya watazamaji 155K (Laki moja na Hamsini na Tano Elfu) Kupiti jukwaa la usambazaji wa Video Youtube.

Vijana hawa kwa sasa wapo chini ya usimamizi wa ChasamaBrand Na pia wmekuwa wakifanya kazi nyingi na Upcoming producer @dusterbeats ikiwa pia wamemshirikisha kwenye ngoma hii ya Never.

Karibukuitizama na pia usisahau ku Subscribe kwenye Channel Yao kwa kupata kazi zao zaidi.


Post a Comment

1 Comments

  1. Hongera sana kwa Royal Dancers kwa kazi hii nzuri! Video ya "Never" inaonyesha ubunifu mkubwa na uchezaji wa hali ya juu. Directors @directorfanny na @directormg wamefanya kazi ya kipekee katika kuwasilisha ujumbe wa wimbo huu. Ni vizuri kuona vijana wakitumia vipaji vyao kuleta burudani na kuhamasisha wengine. Nimefurahia sana kutazama video hii na nitahakikisha nimesubscribe kwenye channel yao ili niendelee kufuatilia kazi zao nzuri. Endeleeni na juhudi hizi nzuri!

    ReplyDelete

Toa maoni yako kuhusu wimbo wowote au msanii yoyote. Pia unaweza kusema hapa tukuletee wimbo gani